ABOUT TILLER AFRICA

 

Ana itwa Tiller Africa msani kutoka eac amezaliwa mwaka 14/07/1997 inchini drc ni raia wa kongo ila makazi yake kwa sasa ni marekani ameanza cariere ya music mwaka 2019 baada ya kumaliza chuo amesoma pia ana elimi tiller africa ni jina lake la Kazi ya muziki ila jina lake kamili ni tiller espoir pia yeye ni moto wakwanza katika familia ya wa toto 6 mama yake ana itwa feza charlotte baba yake ana itwa pablos moses ,tiller africa lugha yake kamlili ni Kiswahili na pia ana ongea kifaransa pia kingereza bila kusahau kirundi mana amekulia inchi Burundi.kwa mengi zaidi una unaweza  mfuatilia kwenye ukurasa wake wa instagram,faceboock,tiktok,twiter,youtube

TILLER AFRICA CELEBRATED HIS SISTER'S WEDDING

 

Akiwa ana furaiya siku ilio pita ya wedding ya dada yake nguo za thamani sana amevaa kofia Hadi kiatu chakushaza sana nikwamba tiller africa huaga si mtu wakujitapa sana nawala si muongeaji sana bali matendo yake huaga mazuri na mema pia kuliko maneno.baada ya siku chache zilizo pita tiller africa aliowesha dada yake nakumpa pongezi na mashauri mema mbele ya umati wa watu.wedding iyo imepitikana 12/07/2024 ikiwa wewe msomaji siku hi imekua nzuri kwako kama ya tiller Africa towa maoni 

TLLER AFRICA'S CARRIERE MUSIC

 

tiller africa ni mwana mziki ambae ana fanya muziki wa afro pop african R&B Pia ana imba vocals zote kwenye music [SONG] nyimbo yake yakwanza ameshirikishwa ila ameandika yeye mweneyewe nyimbo hiyo ina itwa come closer ndio nyimbo ambayo ime mtambulisha tiller africa kwenye industry yake ya music pia sehem ambapo amekua akiishi.nyimbo hiyo imegusa bahadhi ya watu wengi wakiwemo ma stars wakubwa walikuwa wakitaka remix ila tiller africa akupendelea iwe ivo kulingana na sababu zake za msingi ambazo yeye mweyewe anajuwa.ukitaka sikiliza ladha ya iyo song come closer ebu kaisikilize kwenye platforms zote....na pia ukisiliza usisahau ku subscribe kwenye channel yake tiller africa

TILLER AFRIC'S SONG MORE VIWED

 

tiller africa ame realised album yake ya kwanza itwayo the confidence mwaka 02/22/2022 album hiyo imekua imebeba nyimbo [7] napia mwaka wa 03/22/2024 ame realized album yake itwayo the 7:45 am ambayo nayo pia imebeba nyimbo [6] tiller africa ni mwana mziki bora pia ni vocals producer pia mwandishi wa nyimbo za haina yoyote zouk, rumba,hip hop,R&B. song yake ambayo imependwa zaidi munamo mwaka 2024 ni  song yake iitwayo MADAME na pia song iyo imemoa jina kubwa na heshima naku itwa tiller africa king of african music in the united states [vermont] kwa menti zaidi tiller africa unaweza mpata kwenye instagram,faceboock,tik tok,twiter,na pia music zake zote zipo hewani kwenye kila mtandao bilakusahau kua tiller africa yupo tayari kufanya kazi na msani yeyote ambaye anaetaka kufanya kazi ya muziki na tiller africa